This translation is incomplete. Please help translate this article from English.

MDN ina maelfu ya hati. Ili kuzidumisha hati hizi, tunaziainisha kwenye mirada katika mada na eneo, na tunaratibu uitimisho wa kazi wa kila mojawapo, kwa kutumia aina mahususi ya ukurasa, na ukurasa wa Hali Ya Nyaraka.

Mfano wa ukurasa huo una habari zifwatazo:

  • wigo wa mradi
  • maelezo ya jumla ya hali ya sasa, matumizi ya rangi ya kijani/chungwa/nyekundu na metriki rahisi, kufuatilia ufikiaji, makosa, maendeleo, tathmini inayotakikana.
  • orodha ya kurasa zitakazochapishwa, kusahihisha na maelezo ya kimsingi ya jinsi ya kufanya shughuli hii.
  • maelezo ya waendeshaji wa mradhi huu na jinsi ya kuwasiliana nao. Waendeshaji wanaweza kuwa manachama, watu wa kujitolea, au mchanganyiko wa kati yao.
  • mawazo kuhusu jinsi ya kuboresha eneo hili la MDN kwa kipindi cha baadaye.
  • hali ya ujanibishaji wa mradi

Lengo la kurasa hizi ni:

  • kukuwa na uwazi kuhusu hali ya eneo mahususi la MDN, na kufwatilia maendeleo ambayo yamefanyika;
  • kuruhusu watu kutafuta kazi za kufanya kwa urahisi;
  • kuruhusu watu kuchukuwa majukumu kwenye maeneo fulani na kuwapa zana za kurahisisha usimamizi wa maeneo ya uandishi wa nyaraka.

Uwe huru kuongeza kurasa mpya utakazochapisha na kudumisha. Uwe huru kuchangia kwenye kazi zilizoorodheshwa kule na ziwe na waendeshaji walioorodheshwa.

Help the 'Documentation status' documentation project…
Topic driver : Florian Scholz (IRC nickname: fscholz)
Look at the current status of the 'Documentation status' documentation.
Don't hesitate to contact us on #mdn or on the MDN discourse group/list:

Document Tags and Contributors

Contributors to this page: simonmagabe
Last updated by: simonmagabe,